2 Chronicles 6:12
Kisha Solomoni akasimama mbele ya madhabahu ya Bwana machoni pa kusanyiko lote la Israeli, naye akakunjua mikono yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 9:33Kisha Mose akaondoka kwa Farao akaenda nje ya mji. Mose akanyoosha mikono yake kuelekea kwa Bwana, ngurumo na mvua ya mawe vikakoma, mvua haikuendelea tena kunyesha nchini.
2 Kings 11:14Akaangalia, na tazama alikuwako mfalme, akiwa amesimama karibu na nguzo, kama ilivyokuwa desturi. Maafisa na wapiga tarumbeta walikuwa pembeni mwa mfalme, nao watu wote wa nchi walikuwa wakifurahi na kupiga tarumbeta. Ndipo Athalia akararua mavazi yake na kulia, “Uhaini! Uhaini!”
Job 11:13“Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake 2 na kumwinulia mikono yako, 1
Psalms 29:1Mpeni Bwana, enyi mashujaa, 2 mpeni Bwana utukufu na nguvu. 1
Psalms 68:31Wajumbe watakuja kutoka Misri, 2 Kushi + 68:31 Kushi hapa ina maana maeneo ya Naili ya juu, yaani Ethiopia. atajisalimisha kwa Mungu. 1
Psalms 143:6Nanyoosha mikono yangu kwako, 2 nafsi yangu inakuonea kiu kama ardhi kame. 1