The Bible Software
bible.software2 Chronicles2 Chronicles 6 › 2 Chronicles 6:2

2 Chronicles 6:2

Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But I have built an house of habitation for thee, and a place for thy dwelling for ever.

In Context

1Ndipo Solomoni akasema, “ Bwana alisema kwamba ataishi katika giza nene.

3Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki.

Read all of 2 Chronicles 6

Cross References

2 Samuel 7:13Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili ya Jina langu, nami nitaimarisha kiti cha enzi cha ufalme wake milele.

1 Chronicles 17:12Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili yangu, nami nitakifanya imara kiti cha ufalme wake milele.

1 Chronicles 28:6Aliniambia, ‘Solomoni mwanao ndiye atakayejenga nyumba yangu na nyua zangu, kwa maana nimemchagua yeye kuwa mwanangu, nami nitakuwa baba yake.

2 Chronicles 2:4Sasa ninakaribia kujenga Hekalu kwa ajili ya Jina la Bwana Mungu wangu na kuliweka wakfu kwake kwa ajili ya kufukizia uvumba wenye harufu nzuri mbele zake, mahali pa kuweka mikate ya Wonyesho kwa kufuata utaratibu na kwa ajili ya mahali pa kutolea sadaka za kuteketezwa kila siku asubuhi na jioni, siku za Sabato na Mwezi Mwandamo pia katika sikukuu zilizoamriwa za Bwana Mungu wetu. Hili ni agizo la kudumu kwa ajili ya Waisraeli.

Psalms 132:5mpaka nitakapompatia Bwana mahali, 2 makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.” 1

Psalms 135:21Msifuni Bwana kutoka Sayuni, 2 msifuni yeye aishiye Yerusalemu. 1 Msifuni Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Chronicles 6:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Chronicles 6:12 Chronicles 62 Chronicles 6:3 →