2 Chronicles 6:3
Kusanyiko lote la Israeli lilipokuwa limesimama hapo, mfalme akageuka na kuwabariki.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Nimejenga Hekalu zuri kwa ajili yako, mahali pako pa kukaa milele.”
Cross References
Joshua 22:6Ndipo Yoshua akawabariki na kuwaaga waende zao, nao wakaenda nyumbani mwao.
1 Kings 8:55Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa akisema:
2 Chronicles 29:29Kutoa sadaka kulipomalizika, mfalme na kila mtu aliyekuwepo pamoja naye wakapiga magoti na kuabudu.
Nehemiah 8:5Ezra akakifungua kile kitabu. Watu wote waliweza kumwona kwa sababu alikuwa amesimama juu zaidi, naye alipokifungua watu wote wakasimama.
Luke 24:50Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki.