2 Chronicles 7:22
Watu watajibu, ‘Ni kwa sababu wamemwacha Bwana, Mungu wa baba zao, aliyewatoa Misri, nao wamekumbatia miungu mingine, wakaiabudu na kuitumikia, ndiyo sababu ameyaleta maafa haya yote juu yao.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 2:12Wakamwacha Bwana, Mungu wa baba zao, aliyekuwa amewatoa katika nchi ya Misri. Wakaifuata na kuiabudu miungu mbalimbali ya mataifa yanayowazunguka. Wakamkasirisha Bwana,
Jeremiah 1:16Nitatoa hukumu zangu kwa watu wangu 2 kwa sababu ya uovu wao wa kuniacha mimi, 1 kwa kufukiza uvumba kwa miungu mingine 2 na kuabudu kile ambacho mikono yao imekitengeneza.
Lamentations 2:16Adui zako wote wanapanua 2 vinywa vyao dhidi yako, 1 wanadhihaki na kusaga meno yao 2 na kusema, “Tumemmeza. 1 Hii ndiyo siku tuliyoingojea, 2 tumeishi na kuiona.” 1
Ezekiel 14:23Mtafarijika wakati mtakapoona mwenendo wao na matendo yao, kwa kuwa mtajua kwamba sikufanya lolote ndani yake bila sababu, asema Bwana Mwenyezi.”
Daniel 9:12Umetimiza maneno uliyosema dhidi yetu na dhidi ya watawala wetu, kwa kuleta maafa makubwa juu yetu. Chini ya mbingu yote kamwe hapajatendeka kitu kama kile kilichotendeka kwa Yerusalemu.