Lamentations 2:16
Adui zako wote wanapanua 2 vinywa vyao dhidi yako, 1 wanadhihaki na kusaga meno yao 2 na kusema, “Tumemmeza. 1 Hii ndiyo siku tuliyoingojea, 2 tumeishi na kuiona.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 16:9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1
Psalms 35:16Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, 2 wamenisagia meno. 1
Psalms 35:25Usiwaache wafikiri, “Aha, hili ndilo tulilotaka!” 2 Au waseme, “Tumemmeza.” 1
Psalms 41:8“Ugonjwa mbaya sana umempata, 2 kamwe hatainuka tena kitandani mwake.” 1
Psalms 57:3Hutumana kutoka mbinguni na kuniokoa, 2 akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; 2 Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake. 1
Psalms 112:10Mtu mwovu ataona na kuchukizwa, 2 atasaga meno yake na kutoweka, 2 kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.