bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 9 › 2 Chronicles 9:13
2 Chronicles 9:13
Uzito wa dhahabu ambayo Solomoni alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, + 9:13 Talanta 666 za dhahabu ni sawa na tani 25.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now the weight of gold that came to Solomon in one year was six hundred and threescore and six talents of gold;
In Context
12Mfalme Solomoni akampa Malkia wa Sheba kila kitu alichotamani na kukiomba, zaidi ya vile alivyokuwa amemletea mfalme. Kisha malkia akaondoka na kurudi katika nchi yake, yeye na watumishi wake. 1 Fahari Ya Solomoni (1 Wafalme 10:14-25)
14mbali na mapato yaliyoletwa na wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi wakamletea Solomoni dhahabu na fedha.
Read all of 2 Chronicles 9
Cross References
1 Kings 10:14Uzito wa dhahabu ambayo Solomoni alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, + 10:14 Talanta 666 za dhahabu ni sawa na tani 25.
Psalms 72:10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali 2 watamletea kodi; 1 wafalme wa Sheba na Seba 2 watampa zawadi. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 9:13