bible.software › 2 Chronicles › 2 Chronicles 9 › 2 Chronicles 9:14
2 Chronicles 9:14
mbali na mapato yaliyoletwa na wafanyabiashara na wachuuzi. Wafalme wote wa Arabuni na watawala wa nchi wakamletea Solomoni dhahabu na fedha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Beside that which chapmen and merchants brought. And all the kings of Arabia and governors of the country brought gold and silver to Solomon.
In Context
13Uzito wa dhahabu ambayo Solomoni alipokea kwa mwaka ulikuwa talanta 666, + 9:13 Talanta 666 za dhahabu ni sawa na tani 25.
15Mfalme Solomoni akatengeneza ngao kubwa 200 kwa dhahabu iliyofuliwa. Kila ngao ilikuwa na dhahabu yenye uzito wa shekeli 600 + 9:15 Shekeli 600 za dhahabu ni sawa na kilo 3.5.
Read all of 2 Chronicles 9
Cross References
Psalms 68:29Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemu 2 wafalme watakuletea zawadi. 1
Psalms 72:10Wafalme wa Tarshishi na wa pwani za mbali 2 watamletea kodi; 1 wafalme wa Sheba na Seba 2 watampa zawadi. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Chronicles 9:14