2 Wakorintho 13:12
Salimianeni ninyi kwa ninyi kwa busu takatifu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Greet one another with an holy kiss.
In Context
13Watakatifu wote wanawasalimu.
Cross References
1 Corinthians 16:20Ndugu wote walioko hapa wanawasalimu. Salimianeni kwa busu takatifu.
1 Peter 5:14Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.