The Bible Software
bible.software2 Wakorintho2 Wakorintho 13 › 2 Wakorintho 13:5

2 Wakorintho 13:5

Jichunguzeni wenyewe mwone kama mnaishi katika imani. Jipimeni wenyewe. Je, hamtambui ya kuwa Yesu Kristo yumo ndani yenu? Kama sivyo, basi, mmeshindwa kufikia kipimo hicho!

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Examine yourselves, whether ye be in the faith; prove your own selves. Know ye not your own selves, how that Jesus Christ is in you, except ye be reprobates?

In Context

4Kwa kuwa alisulubiwa katika udhaifu, lakini anaishi kwa nguvu za Mungu. Vivyo hivyo, sisi tu dhaifu kupitia kwake, lakini katika kuwashughulikia ninyi tutaishi pamoja naye kwa nguvu za Mungu.

6Natumaini mtaona kuwa sisi hatukushindwa.

Read all of 2 Wakorintho 13

Cross References

Psalms 17:3Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku, 2 ingawa umenijaribu, hutaona chochote. 1 Nimeamua kwamba kinywa changu 2 hakitatenda dhambi. 1

Psalms 119:59Nimezifikiri njia zangu 2 na nimeelekeza hatua zangu katika mausia yako. 1

Jeremiah 6:30Wanaitwa fedha iliyokataliwa, 2 kwa sababu Bwana amewakataa.”

Ezekiel 18:28Kwa kuwa anayafikiria na kugeuka kutoka makosa yake yote aliyoyatenda na kuyaacha, hakika ataishi, hatakufa.

Haggai 1:7Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.

John 6:56Yeyote alaye mwili wangu na kunywa damu yangu, atakaa ndani yangu nami nitakaa ndani yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Wakorintho 13:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Wakorintho 13:42 Wakorintho 132 Wakorintho 13:6 →