2 Wakorintho 13:8
Kwa maana hatuwezi kufanya lolote kinyume na kweli, bali kuithibitisha kweli tu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For we can do nothing against the truth, but for the truth.
In Context
Cross References
1 Kings 22:28Mikaya akasema, “Kama utarudi salama, basi Bwana hajanena kupitia kwangu.” Kisha akaongeza kusema, “Zingatieni maneno yangu, enyi watu wote!” 1 Ahabu Auawa Ramoth-Gileadi (2 Nyakati 18:28-34)
2 Kings 2:23Kutoka huko Elisha akakwea kwenda Betheli. Ikawa alipokuwa akitembea barabarani, baadhi ya vijana wakatoka mjini na kumfanyia mzaha. Wakasema, “Paa, wewe mwenye upaa! Paa, wewe mwenye upaa!”
Proverbs 26:2Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake 2 au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, 2 ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu. 1
Mark 16:17Nazo ishara hizi zitafuatana na wanaoamini: Kwa Jina langu watatoa pepo wachafu; watasema kwa lugha mpya;
Acts 4:28Wao wakafanya yale ambayo uweza wako na mapenzi yako yalikuwa yamekusudia yatokee tangu zamani.
Acts 13:3Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao. 1 Barnaba Na Sauli Waenda Kipro