2 Wakorintho 13:7
Lakini tunamwomba Mungu msije mkatenda kosa lolote, si ili sisi tuonekane kuwa tumeshinda hilo jaribio, bali ili ninyi mtende lililo haki, hata kama tutaonekana kuwa tumeshindwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Natumaini mtaona kuwa sisi hatukushindwa.
8Kwa maana hatuwezi kufanya lolote kinyume na kweli, bali kuithibitisha kweli tu.
Cross References
Matthew 6:13Usitutie majaribuni, 2 bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu 1 [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, 2 na utukufu, hata milele. Amen].’
Romans 12:17Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote.
Romans 16:10Msalimuni Apele aliyejaribiwa na akaithibitisha imani yake katika Kristo. 1 Wasalimuni wote walio nyumbani mwa Aristobulo. 1
1 Corinthians 11:19Bila shaka lazima pawe na tofauti miongoni mwenu ili kuonyesha ni nani anayekubaliwa na Mungu.
2 Corinthians 6:8katika utukufu na katika kudharauliwa; katika sifa mbaya na katika sifa nzuri; tukiwa kama wadanganyaji, lakini tukiwa wakweli;
2 Corinthians 10:10Kwa maana wanasema, “Nyaraka zake ni nzito na zenye nguvu, lakini ana kwa ana ni dhaifu na kuzungumza kwake ni kwa kudharauliwa.”