The Bible Software
bible.software2 Wakorintho2 Wakorintho 6 › 2 Wakorintho 6:13

2 Wakorintho 6:13

Sasa nasema, kama na watoto wangu: Ninyi pia ifungueni mioyo yenu kabisa. 1 Msifungiwe Nira Pamoja Na Wasioamini

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now for a recompence in the same, (I speak as unto my children,) be ye also enlarged.

In Context

12Sisi hatujizuii kuwapenda, bali ninyi mmeuzuia upendo wenu kwetu.

14Msifungiwe nira pamoja na watu wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa, kwa maana pana uhusiano gani kati ya haki na uovu? Au kuna ushirika gani kati ya nuru na giza?

Read all of 2 Wakorintho 6

Cross References

Psalms 81:10Mimi ni Bwana Mungu wako, 2 niliyekutoa nchi ya Misri. 1 Panua sana kinywa chako 2 nami nitakijaza. 1

Matthew 17:19Kisha wanafunzi wakamwendea Yesu wakiwa peke yao, wakamuuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”

Mark 11:24Kwa sababu hiyo nawaambia, yoyote mtakayoyaomba mkisali, aminini ya kwamba mmeyapokea, nayo yatakuwa yenu.

Galatians 4:12Ndugu zangu, nawasihi mwe kama mimi, kwa sababu mimi nimekuwa kama ninyi. Hamkunitendea jambo lolote baya.

1 Thessalonians 2:11Maana mnajua kwamba tuliwatendea kila mmoja wenu kama vile baba awatendeavyo watoto wake.

James 1:6Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Wakorintho 6:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Wakorintho 6:122 Wakorintho 62 Wakorintho 6:14 →