2 Wafalme 18:13
Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 7:17Bwana ataleta juu yako, juu ya watu wako, na juu ya nyumba ya baba yako wakati ambao haujawahi kuwako tangu Efraimu alipojitenga na Yuda: yeye atawaleteeni mfalme wa Ashuru.”
Isaiah 8:7kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao 2 mafuriko makubwa ya Mto: + 8:7 Yaani Frati. 2 yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. 1 Yatafurika juu ya mifereji yake yote, 2 yatamwagikia juu ya kingo zake zote, 1
Isaiah 36:1Katika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.
Micah 1:8Kwa ajili ya hili nitalia na kuomboleza; 2 nitatembea bila viatu na tena uchi. 1 Nitabweka kama mbweha 2 na kuomboleza kama bundi. 1