The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 8 › Isaiah 8:7

Isaiah 8:7

kwa hiyo Bwana yu karibu kuleta dhidi yao 2 mafuriko makubwa ya Mto: + 8:7 Yaani Frati. 2 yaani mfalme wa Ashuru na fahari yake yote. 1 Yatafurika juu ya mifereji yake yote, 2 yatamwagikia juu ya kingo zake zote, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now therefore, behold, the Lord bringeth up upon them the waters of the river, strong and many, even the king of Assyria, and all his glory: and he shall come up over all his channels, and go over all his banks:

In Context

6“Kwa sababu watu hawa wamekataa maji ya Shilo yatiririkayo taratibu 2 wakamfurahia Resini na mwana wa Remalia, 1

8na kufika hadi Yuda, yakizunguka kwa kasi juu yake, 2 yakipita katikati na yakifika hadi shingoni. 1 Mabawa yake yaliyokunjuliwa 2 yatafunika upana wa nchi yako, 2 Ee Imanueli!” + 8:8 Imanueli maana yake Mungu yu pamoja nasi. 1

Read all of Isaiah 8

Cross References

Genesis 6:17Nitaleta gharika ya maji juu ya nchi ili kuangamiza uhai wote chini ya mbingu, kila kiumbe chenye pumzi ya uhai ndani yake. Kila kitu juu ya nchi kitaangamia.

2 Kings 17:3Mfalme Shalmanesa wa Ashuru akainuka dhidi ya Mfalme Hoshea, ambaye hapo mbeleni alikuwa mtumwa wake na kumlipa ushuru.

Ezra 4:10na watu wengine ambao mheshimiwa Asur-Banipali + 4:10 Yaani Osnapali au Asnapali kwa Kiaramu. aliwahamisha na kuwakalisha katika mji wa Samaria na mahali pengine Ngʼambo ya Mto Frati.

Psalms 72:8Atatawala kutoka bahari hadi bahari 2 na kutoka Mto + 72:8 Yaani Mto Frati. mpaka miisho ya dunia. 1

Isaiah 7:17Bwana ataleta juu yako, juu ya watu wako, na juu ya nyumba ya baba yako wakati ambao haujawahi kuwako tangu Efraimu alipojitenga na Yuda: yeye atawaleteeni mfalme wa Ashuru.”

Isaiah 10:8Maana asema, ‘Je, wafalme wote 2 si majemadari wangu? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 8:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 8:6Isaiah 8Isaiah 8:8 →