2 Kings 21:15
kwa sababu wametenda uovu machoni pangu na kunighadhibisha tangu siku baba zao walipotoka Misri mpaka siku ya leo.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 31:27Kwa kuwa ninajua jinsi mlivyo waasi na mlivyo na shingo ngumu. Kama mmekuwa mkiasi dhidi ya Bwana nikiwa bado niko hai na nikiwa pamoja nanyi, mtaasi mara ngapi baada ya kufa kwangu!
Judges 2:11Kwa hiyo Waisraeli wakatenda maovu machoni pa Bwana na kuwatumikia Mabaali.
Isaiah 24:5Dunia imetiwa unajisi na watu wake; 2 wameacha kutii sheria, 1 wamevunja amri 2 na kuvunja agano la milele. 1
Lamentations 1:5Adui zake wamekuwa mabwana zake, 2 watesi wake wana raha. 1 Bwana amemletea huzuni 2 kwa sababu ya dhambi zake nyingi. 1 Watoto wake wamekwenda uhamishoni, 2 mateka mbele ya adui. 1
Ezekiel 20:4“Je, utawahukumu? Je, mwanadamu, utawahukumu? Basi uwakabili kwa ajili ya machukizo ya baba zao
Ezekiel 20:21“ ‘Lakini watoto hao wakaniasi: Hawakufuata amri zangu, wala hawakuwa waangalifu kushika sheria zangu, ingawa mtu anayezitii anaishi kwa hizo sheria, nao wakazinajisi Sabato zangu. Hivyo nikasema ningemwaga ghadhabu yangu juu yao na kutimiza hasira yangu dhidi yao huko jangwani.