Ezekiel 20:21
“ ‘Lakini watoto hao wakaniasi: Hawakufuata amri zangu, wala hawakuwa waangalifu kushika sheria zangu, ingawa mtu anayezitii anaishi kwa hizo sheria, nao wakazinajisi Sabato zangu. Hivyo nikasema ningemwaga ghadhabu yangu juu yao na kutimiza hasira yangu dhidi yao huko jangwani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 25:1Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu,
Deuteronomy 31:27Kwa kuwa ninajua jinsi mlivyo waasi na mlivyo na shingo ngumu. Kama mmekuwa mkiasi dhidi ya Bwana nikiwa bado niko hai na nikiwa pamoja nanyi, mtaasi mara ngapi baada ya kufa kwangu!
2 Chronicles 34:25Kwa sababu wameniacha mimi na kufukiza uvumba kwa miungu mingine na kunighadhibisha kwa kazi yote ya mikono yao, hivyo hasira yangu itamwagwa juu ya mahali hapa, wala haitatulizwa.’
Psalms 106:29Waliichochea hasira ya Bwana, 2 wakamkasirisha kwa matendo yao maovu, 2 nayo tauni ikazuka katikati yao. 1
Lamentations 4:11Bwana ametoa nafasi kamilifu ya ghadhabu yake; 2 ameimwaga hasira yake kali. 1 Amewasha moto katika Sayuni 2 ambao umeteketeza misingi yake. 1
Ezekiel 13:15Hivyo ndivyo nitakavyoitimiza ghadhabu yangu dhidi ya huo ukuta na dhidi yao walioupaka chokaa. Nitawaambia ninyi, “Ukuta umebomoka na vivyo hivyo wale walioupaka chokaa,