2 Kings 21:20
Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he did that which was evil in the sight of the LORD, as his father Manasseh did.
In Context
21Akaenenda katika njia zote za baba yake, akaabudu sanamu ambazo baba yake aliziabudu na kuzisujudia.
Cross References
2 Kings 21:2Akafanya maovu machoni pa Bwana, akafuata desturi za machukizo za mataifa ambayo Bwana aliyafukuza mbele ya Waisraeli.
2 Kings 23:32Akafanya maovu machoni mwa Bwana, kama baba zake walivyofanya.
2 Kings 24:9Akafanya maovu machoni pa Bwana, kama vile baba yake alivyokuwa amefanya.
2 Chronicles 33:22Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya. Amoni akaabudu na kutoa dhabihu kwa sanamu zote alizokuwa ametengeneza Manase.
Acts 7:51“Enyi watu wenye shingo ngumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, daima hamwachi kumpinga Roho Mtakatifu, kama walivyofanya baba zenu.