The Bible Software
bible.software2 Kings2 Kings 21 › 2 Kings 21:19

2 Kings 21:19

Amoni alikuwa na miaka ishirini na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka miwili. Mamaye aliitwa Meshulemethi binti Haruzi, kutoka Yotba.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Amon was twenty and two years old when he began to reign, and he reigned two years in Jerusalem. And his mother’s name was Meshullemeth, the daughter of Haruz of Jotbah.

In Context

18Manase akalala pamoja na baba zake na akazikwa katika bustani ya jumba lake la kifalme, katika bustani ya Uza. Naye Amoni mwanawe akawa mfalme baada yake. 1 Amoni Mfalme Wa Yuda (2 Nyakati 33:21-25)

20Akatenda maovu machoni mwa Bwana, kama baba yake Manase alivyofanya.

Read all of 2 Kings 21

Cross References

1 Kings 16:8Katika mwaka wa ishirini na sita wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Ela mwana wa Baasha akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala huko Tirsa kwa miaka miwili.

2 Kings 15:23Katika mwaka wa hamsini wa utawala wa Azaria mfalme wa Yuda, Pekahia mwana wa Menahemu akawa mfalme wa Israeli huko Samaria, akatawala miaka miwili.

1 Chronicles 3:14mwanawe huyo alikuwa Amoni 2 na mwanawe huyo alikuwa Yosia. 1

Matthew 1:10Hezekia akamzaa Manase, 2 Manase akamzaa Amoni, 2 Amoni akamzaa Yosia, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Kings 21:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Kings 21:182 Kings 212 Kings 21:20 →