2 Kings 21:22
Akamwacha Bwana, Mungu wa baba zake, wala hakuenenda katika njia za Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he forsook the LORD God of his fathers, and walked not in the way of the LORD.
In Context
21Akaenenda katika njia zote za baba yake, akaabudu sanamu ambazo baba yake aliziabudu na kuzisujudia.
23Watumishi wa Amoni wakafanya fitina juu yake, nao wakamuulia kwake nyumbani.
Cross References
1 Kings 11:33Nitafanya hivi kwa sababu wameniacha mimi na kuabudu Ashtorethi mungu mke wa Wasidoni, Kemoshi mungu wa Wamoabu, na Moleki mungu wa Waamoni, nao hawakwenda katika njia zangu ili kufanya yaliyo sawa machoni pangu, wala kushika amri na sheria zangu kama Daudi, babaye Solomoni, alivyofanya.
1 Chronicles 28:9“Nawe Solomoni mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa kujitoa kwa moyo wote na kwa nia ya kumkubali, kwa maana Bwana huuchunguza kila moyo na kujua kila kusudi la kila fikira. Ukimtafuta, ataonekana kwako; bali kama ukimwacha, yeye atakukataa milele.
Isaiah 1:4Lo! Taifa lenye dhambi, 2 watu waliolemewa na uovu, 1 uzao wa watenda mabaya, 2 watoto waliozoelea upotovu! 1 Wamemwacha Bwana, 2 Wamemkataa kwa dharau 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli 2 na kumgeuzia kisogo. 1
Jonah 2:8“Wale watu wanaongʼangʼana na sanamu zisizofaa 2 hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao. 1