Isaiah 1:4
Lo! Taifa lenye dhambi, 2 watu waliolemewa na uovu, 1 uzao wa watenda mabaya, 2 watoto waliozoelea upotovu! 1 Wamemwacha Bwana, 2 Wamemkataa kwa dharau 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli 2 na kumgeuzia kisogo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:7Kisha Bwana akamwambia Mose, “Shuka, kwa sababu watu wako, uliowatoa Misri, wamepotoka.
Deuteronomy 29:25Na jibu litakuwa: “Ni kwa sababu watu hawa waliacha Agano la Bwana, Mungu wa baba zao, Agano alilofanya nao wakati alipowatoa katika nchi ya Misri.
Deuteronomy 32:5Wamefanya mambo ya upotovu mbele zake; 2 kwa aibu yao, wao si watoto wake tena, 2 lakini ni kizazi kilicho kiovu na kilichopotoka. 1
Judges 10:10Ndipo Waisraeli wakamlilia Bwana wakasema, “Tumetenda dhambi dhidi yako, kumwacha Mungu wetu na kutumikia Mabaali.”
2 Chronicles 12:1Baada ya nafasi ya Rehoboamu kuimarika na kuwa na nguvu, yeye na Israeli yote waliiacha sheria ya Bwana Mungu.
Psalms 58:3Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, 2 toka tumboni mwa mama zao 2 ni wakaidi na husema uongo. 1