2 Petro 1:11
na mtajaliwa kwa ukarimu mwingi kuingia katika ufalme wa milele wa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. 1 Unabii Wa Maandiko
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 36:8Wanajifurahisha katika wingi nyumbani mwako, 2 nawe utawanywesha katika mto wa furaha zako. 1
Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1
Daniel 7:14Akapewa mamlaka, utukufu na ufalme wenye nguvu; nao watu wa kabila zote, mataifa, na watu wa kila lugha wakamwabudu. Utawala wake ni utawala wa milele ambao hautapita, nao ufalme wake ni ule ambao kamwe hautaangamizwa. 1 Tafsiri Ya Ndoto
Matthew 25:34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njooni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu; urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
2 Corinthians 5:1Kwa maana twajua kama hema yetu ya dunia tunayoishi ikiharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu, nyumba iliyo ya milele kule mbinguni, isiyojengwa kwa mikono ya wanadamu.
2 Timothy 4:8Sasa nimewekewa taji ya haki ambayo Bwana, mwamuzi wa haki, atanitunukia siku ile: wala si mimi tu, bali pia wote ambao wamengoja kwa shauku kudhihirishwa kwake. 1 Maelekezo Ya Binafsi