2 Petro 1:19
Nasi tunalo pia neno la hakika zaidi la unabii, ambalo mtafanya vyema mkiliangalia kwa bidii, kama vile nuru inavyongʼaa gizani, hadi kupambazuka na nyota ya asubuhi izuke mioyoni mwenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 119:105Neno lako ni taa ya miguu yangu 2 na mwanga katika njia yangu. 1
Isaiah 8:20Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko.
Isaiah 41:21Bwana asema, “Leta shauri lako. 2 Toa hoja yako,” asema Mfalme wa Yakobo. 1
Isaiah 60:1“Ondoka, angaza, kwa kuwa nuru yako imekuja 2 na utukufu wa Bwana umezuka juu yako. 1
Luke 1:78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, 2 nuru itokayo juu itatuzukia 1
John 1:7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini.