2 Peter 1:20
Zaidi ya yote, yawapasa mjue kwamba hakuna unabii katika Maandiko uliofasiriwa kama alivyopenda nabii mwenyewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation.
In Context
Cross References
Romans 6:6Kwa maana twajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja naye ili ule mwili wa dhambi upate kuangamizwa, nasi tusiendelee kuwa tena watumwa wa dhambi.
Romans 13:11Nanyi fanyeni hivi, mkiutambua wakati tulio nao. Saa ya kuamka kutoka usingizini imewadia, kwa maana sasa wokovu wetu umekaribia zaidi kuliko hapo kwanza tulipoamini.
James 1:3kwa sababu mnajua ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu huleta saburi.