2 Peter 2:12
Lakini watu hawa hukufuru katika mambo wasiyoyafahamu. Wao ni kama wanyama wasio na akili, viumbe wanaotawaliwa na hisia za mwili, waliozaliwa ili wakamatwe na kuchinjwa. Hawa nao kama wanyama wataangamizwa pia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 49:10Wote wanaona kwamba watu wenye hekima hufa; 2 wajinga na wapumbavu vivyo hivyo huangamia 2 na kuwaachia wengine mali zao. 1
Psalms 94:8Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu; 2 enyi wapumbavu, lini mtakuwa na hekima? 1
Jeremiah 4:22“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1
Jeremiah 10:8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, 2 wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 1
Jeremiah 12:3Hata hivyo unanijua mimi, Ee Bwana; 2 unaniona na kuyachunguza mawazo yangu kukuhusu wewe. 1 Wakokote kama kondoo wanaokwenda kuchinjwa! 2 Watenge kwa ajili ya siku ya kuchinjwa! 1
John 8:21Yesu akawaambia tena, “Ninaenda zangu, nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi ninyi hamwezi kuja.”