2 Peter 2:19
Huwaahidi uhuru hao waliowanasa, wakati wao wenyewe ni watumwa wa ufisadi: kwa maana mtu ni mtumwa wa kitu chochote kinachomtawala.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 13:8Kuhani atamchunguza, na kama upele umeenea kwenye ngozi, atamtangaza kuwa najisi, kwani ni ugonjwa wa ngozi wa kuambukiza, yaani ukoma.
Jeremiah 23:9Kuhusu manabii: 1 Moyo wangu umevunjika ndani yangu; 2 mifupa yangu yote inatetemeka. 1 Nimekuwa kama mtu aliyelewa, 2 kama mtu aliyelemewa na divai, 1 kwa sababu ya Bwana 2 na maneno yake matakatifu. 1
Romans 6:12Kwa hiyo, msiruhusu dhambi itawale ndani ya miili yenu, ipatikanayo na kufa, ili kuwafanya mzitii tamaa mbaya.
Galatians 5:1Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Hivyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na kongwa la utumwa.
2 Timothy 2:26ili fahamu zao ziwarudie tena, nao waponyoke katika mtego wa ibilisi ambaye amewateka wapate kufanya mapenzi yake.
1 Peter 2:16Ishini kama watu huru, lakini msitumie uhuru wenu kama kisingizio cha kutenda uovu, bali ishini kama watumishi wa Mungu.