2 Peter 2:8
(kwa sababu yale matendo mapotovu aliyoyaona na kuyasikia huyo mtu mwenye haki alipoishi miongoni mwao yalimhuzunisha siku baada ya siku):
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7na kama alimwokoa Loti, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu
Cross References
Psalms 119:139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu 2 wanayapuuza maneno yako. 1
Proverbs 25:26Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au 2 kisima kilichotiwa taka 1 ndivyo alivyo mtu mwenye haki 2 akishiriki na waovu. 1
Ezekiel 9:4akamwambia, “Pita katika mji wote wa Yerusalemu ukaweke alama juu ya vipaji vya nyuso za wale watu wanaohuzunika na kuomboleza kwa sababu ya machukizo yote yanayotendeka katika mji huu.”
Malachi 3:15Lakini sasa wenye kiburi wanabarikiwa. Hakika watenda mabaya wanastawi, pia hata wale wanaoshindana na Mungu ndio wanaosalimika.’ ”
James 5:16Kwa hiyo ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu tena yanafaa sana.