The Bible Software
bible.software2 Peter2 Peter 2 › 2 Peter 2:7

2 Peter 2:7

na kama alimwokoa Loti, mtu mwenye haki, ambaye alihuzunishwa na maisha machafu ya watu wapotovu

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And delivered just Lot, vexed with the filthy conversation of the wicked:

In Context

6kama aliihukumu miji ya Sodoma na Gomora kwa kuiteketeza kwa moto ikawa majivu, na kuifanya kuwa kielelezo kwa yale yatakayowapata wale wasiomcha Mungu;

8(kwa sababu yale matendo mapotovu aliyoyaona na kuyasikia huyo mtu mwenye haki alipoishi miongoni mwao yalimhuzunisha siku baada ya siku):

Read all of 2 Peter 2

Cross References

Genesis 19:7akasema, “La hasha, rafiki zangu. Msifanye jambo hili ovu.

Genesis 19:22Lakini ukimbilie huko haraka, kwa sababu sitaweza kufanya lolote mpaka ufike huko.” (Ndiyo maana mji huo ukaitwa Soari. + 19:22 Soari maana yake Mdogo.)

Psalms 120:5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, 2 kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 1

Jeremiah 23:9Kuhusu manabii: 1 Moyo wangu umevunjika ndani yangu; 2 mifupa yangu yote inatetemeka. 1 Nimekuwa kama mtu aliyelewa, 2 kama mtu aliyelemewa na divai, 1 kwa sababu ya Bwana 2 na maneno yake matakatifu. 1

2 Peter 3:17Basi, ninyi wapenzi, kwa kuwa mmekwisha kujua mambo haya, jilindeni msije mkachukuliwa na kosa la watu hao waasi na kuanguka kutoka kwenye uthabiti wenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Peter 2:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Peter 2:62 Peter 22 Peter 2:8 →