2 Peter 3:7
Lakini kwa neno lilo hilo, mbingu za sasa na dunia zimewekwa akiba kwa ajili ya moto, zikihifadhiwa hadi siku ile ya hukumu na ya kuangamizwa kwa watu wasiomcha Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa.
Cross References
Psalms 102:26Hizi zitatoweka, lakini wewe utadumu, 2 zote zitachakaa kama vazi. 1 Utazibadilisha kama nguo 2 nazo zitaondoshwa. 1
Zephaniah 3:8Bwana anasema, 2 “Kwa hiyo ningojee mimi, 2 siku nitakayosimama kuteka nyara. 1 Nimeamua kukusanya mataifa, 2 kukusanya falme 1 na kumimina ghadhabu yangu juu yao, 2 hasira yangu kali yote. 1 Dunia yote itateketezwa 2 kwa moto wa wivu wa hasira yangu. 1
Matthew 11:22Lakini nawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Tiro na Sidoni kustahimili katika siku ya hukumu, kuliko ninyi.
Matthew 12:36Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena.
Matthew 25:41“Kisha atawaambia wale walio upande wake wa kushoto, ‘Ondokeni kwangu, ninyi mliolaaniwa, nendeni kwenye moto wa milele ulioandaliwa kwa ajili ya ibilisi na malaika zake.
Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.