2 Peter 3:6
Ulimwengu wa wakati ule uligharikishwa kwa hayo maji na kuangamizwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Whereby the world that then was, being overflowed with water, perished:
In Context
Cross References
Genesis 9:15nitakumbuka Agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote.
Matthew 24:38Kwa maana siku zile kabla ya gharika, watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina.
2 Peter 2:5kama hakuusamehe ulimwengu wa kale alipoleta gharika juu ya watu wale wasiomcha Mungu, bali akamhifadhi Noa, mhubiri wa haki, pamoja na watu wengine saba;