2 Samweli 1:7
Alipogeuka na kuniona, akaniita, nami nikasema, ‘Je, nifanye nini?’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he looked behind him, he saw me, and called unto me. And I answered, Here am I.
In Context
8“Akaniuliza, ‘Wewe ni nani?’ “Nikamjibu, ‘Mimi ni Mwamaleki.’
Cross References
1 Samuel 22:12Sauli akasema, “Sikiliza sasa, mwana wa Ahitubu.” Akajibu, “Naam, bwana wangu.”
Isaiah 6:8Kisha nikasikia sauti ya Bwana ikisema, “Nimtume nani? Ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu?” Nami nikasema, “Mimi hapa. Nitume mimi!”