2 Samweli 10:4
Basi Hanuni akawakamata watu wa Daudi, akawanyoa kila mmoja ndevu zake nusu, akakata mavazi yao nyuma katikati kwenye matako, akawaacha waende zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 19:27“ ‘Msikate nywele za kichwa denge, wala kunyoa pembe za ndevu zenu.
1 Chronicles 19:4Kwa hiyo Hanuni akawakamata watu wa Daudi, akawanyoa ndevu akakata nguo zao katikati kwenye matako, akawaacha waende zao.
Isaiah 15:2Diboni anakwea hadi kwenye hekalu lake, 2 mpaka mahali pake pa juu ili walie, 2 Moabu anaombolezea Nebo na Medeba. 1 Kila kichwa kimenyolewa 2 na kila ndevu limeondolewa. 1
Isaiah 47:2Chukua mawe ya kusagia, usage unga, 2 vua shela yako. 1 Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, 2 vuka vijito kwa shida. 1