The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 47 › Isaiah 47:2

Isaiah 47:2

Chukua mawe ya kusagia, usage unga, 2 vua shela yako. 1 Pandisha mavazi yako, ondoa viatu vyako, 2 vuka vijito kwa shida. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Take the millstones, and grind meal: uncover thy locks, make bare the leg, uncover the thigh, pass over the rivers.

In Context

1“Shuka uketi mavumbini, 2 ee Bikira Binti Babeli; 1 keti chini pasipo na kiti cha enzi, 2 ee binti wa Wakaldayo. 1 Hutaitwa tena mwororo wala wa kupendeza. 1

3Uchi wako utafunuliwa 2 na aibu yako itaonekana. 1 Nitalipa kisasi; 2 sitamhurumia hata mmoja.” 1

Read all of Isaiah 47

Cross References

Exodus 11:5Kila mwanaume kifungua mimba katika Misri atakufa, kuanzia mzaliwa wa kwanza wa kiume wa Farao, aketiye penye kiti cha ufalme, hadi mzaliwa wa kwanza wa kiume wa mtumwa wa kike, anayesaga nafaka kwa jiwe, pamoja na kila mzaliwa wa kwanza wa mifugo.

1 Chronicles 19:4Kwa hiyo Hanuni akawakamata watu wa Daudi, akawanyoa ndevu akakata nguo zao katikati kwenye matako, akawaacha waende zao.

Isaiah 3:17Kwa hiyo Bwana ataleta majipu kwenye vichwa vya wanawake wa Sayuni; 2 Bwana atazifanya ngozi za vichwa vyao kuwa vipara.”

Isaiah 32:11Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika, 2 tetemekeni kwa hofu, enyi binti mnaojisikia salama! 1 Vueni nguo zenu, 2 vaeni nguo ya gunia viunoni mwenu. 1

Jeremiah 13:26Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako 2 ili aibu yako ionekane: 1

Lamentations 5:13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia, 2 wavulana wanayumbayumba chini ya mizigo ya kuni. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 47:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 47:1Isaiah 47Isaiah 47:3 →