bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 11 › 2 Samweli 11:9
2 Samweli 11:9
Lakini Uria akalala kwenye ingilio la jumba la kifalme pamoja na watumishi wote wa bwana wake, na hakuteremka kwenda nyumbani kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Uriah slept at the door of the king’s house with all the servants of his lord, and went not down to his house.
In Context
8Kisha Daudi akamwambia Uria, “Teremka nyumbani kwako ukanawe miguu yako.” Basi Uria akaondoka kutoka kwenye jumba la kifalme, tena zawadi zikamfuata kutoka kwa mfalme.
10Daudi alipoambiwa kwamba, “Uria hakwenda nyumbani,” Daudi akamuuliza, “Je, si ndiyo tu umefika kutoka safari ya mbali? Kwa nini hukwenda nyumbani?”
Read all of 2 Samweli 11
Cross References
Proverbs 21:30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 11:9