2 Samweli 12:20
Basi Daudi akainuka kutoka pale sakafuni. Baada ya kuoga, akajipaka mafuta na kubadilisha nguo zake kisha akaenda ndani ya nyumba ya Bwana, akaabudu. Baada ya hapo akaenda nyumbani kwake kwa kutaka kwake, wakamwandalia chakula, naye akala.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 15:25Sasa ninakusihi usamehe dhambi yangu, nawe urudi pamoja nami, ili nipate kumwabudu Bwana.”
2 Samuel 6:17Wakaleta Sanduku la Bwana na kuliweka mahali pake ndani ya hema ambalo Daudi alikuwa amelisimamisha kwa ajili yake, naye Daudi akatoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani mbele za Bwana.
Job 1:20Ndipo Ayubu akasimama, akararua joho lake na kunyoa nywele zake. Kisha akaanguka chini katika kuabudu
Psalms 39:9Nilinyamaza kimya, 2 sikufumbua kinywa changu, 2 kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili. 1
Lamentations 3:39Mwanadamu yeyote aliye hai aweza kulalamika 2 wakati anapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zake? 1