Zaburi 39:9
Nilinyamaza kimya, 2 sikufumbua kinywa changu, 2 kwa sababu wewe ndiwe uliyetenda hili. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I was dumb, I opened not my mouth; because thou didst it.
In Context
8Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote, 2 usinifanye kuwa dhihaka ya wapumbavu. 1
10Niondolee mjeledi wako, 2 nimeshindwa kwa mapigo ya mkono wako. 1
Cross References
Leviticus 10:3Kisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema: 1 “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia 2 nitajionyesha kuwa mtakatifu; 1 machoni pa watu wote 2 nitaheshimiwa.’ ” Aroni akanyamaza.
2 Samuel 16:10Lakini mfalme akamwambia, “Mna nini nami, enyi wana wa Seruya? Ikiwa analaani kwa sababu Bwana amemwambia, ‘Mlaani Daudi,’ nani awezaye kuuliza, ‘Kwa nini unafanya hivi?’ ”
Job 2:10Akamjibu, “Unazungumza kama vile ambavyo mwanamke mpumbavu + 2:10 Mpumbavu hapa ina maana ya kupungukiwa maadili. yeyote angenena. Je, tupokee mema mikononi mwa Mungu, nasi tusipokee na udhia?” Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi katika kusema kwake. 1 Marafiki Watatu Wa Ayubu
Psalms 38:13Mimi ni kama mtu kiziwi, asiyeweza kusikia, 2 ni kama bubu, asiyeweza kufungua kinywa chake, 1