The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 12 › 2 Samweli 12:25

2 Samweli 12:25

Kwa kuwa Bwana alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia + 12:25 Yedidia maana yake Apendwaye na Bwana. kwa ajili ya Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he sent by the hand of Nathan the prophet; and he called his name Jedidiah, because of the LORD.

In Context

24Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. Bwana alimpenda Solomoni.

26Wakati huo Yoabu akapigana dhidi ya Raba jamii ya Waamoni na kuteka ngome la kifalme.

Read all of 2 Samweli 12

Cross References

Deuteronomy 33:12Kuhusu Benyamini akasema: 1 “Mwache mpenzi wa Bwana 2 apumzike salama kwake, 1 kwa maana humkinga mchana kutwa, 2 na yule Bwana ampendaye 2 hupumzika kati ya mabega yake.”

2 Samuel 12:1Bwana akamtuma Nathani kwa Daudi. Alipofika kwake akamwambia, “Katika mji mmoja kulikuwepo na watu wawili, mmoja alikuwa tajiri na mwingine alikuwa maskini.

1 Kings 1:11Ndipo Nathani akamuuliza Bathsheba, mama yake Solomoni, “Je, hujasikia kwamba Adoniya, mwana wa Hagithi, amekuwa mfalme pasipo bwana wetu Daudi kujua jambo hili?

1 Kings 4:5Azaria mwana wa Nathani: kiongozi wa maafisa wa wilaya; 1 Zabudi mwana wa Nathani: kuhani na mshauri binafsi wa mfalme; 1

Matthew 3:17Nayo sauti kutoka mbinguni ikasema, “Huyu ni Mwanangu mpendwa, ambaye ninapendezwa sana naye.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 12:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 12:242 Samweli 122 Samweli 12:26 →