The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:12

Kumbukumbu 33:12

Kuhusu Benyamini akasema: 1 “Mwache mpenzi wa Bwana 2 apumzike salama kwake, 1 kwa maana humkinga mchana kutwa, 2 na yule Bwana ampendaye 2 hupumzika kati ya mabega yake.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And of Benjamin he said, The beloved of the LORD shall dwell in safety by him; and the LORD shall cover him all the day long, and he shall dwell between his shoulders.

In Context

11Ee Bwana, bariki ustadi wake wote, 2 nawe upendezwe na kazi ya mikono yake. 1 Vipige viuno vya wale wainukao dhidi yake; 2 wapige adui zake hata wasiinuke tena.”

13Kuhusu Yosefu akasema: 1 “ Bwana na aibariki nchi yake 2 kwa umande wa thamani 2 kutoka mbinguni juu, 1 na vilindi vya maji 2 vilivyotulia chini; 1

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Exodus 28:12na uvifungie juu ya vipande vya mabega ya kisibau yawe kama vito vya ukumbusho kwa wana wa Israeli. Aroni atavaa majina hayo mabegani mwake kama kumbukumbu mbele za Bwana.

Deuteronomy 33:27Mungu wa milele ni kimbilio lako, 2 na chini kuna mikono ya milele. 1 Atamfukuza adui yako mbele yako, 2 akisema, ‘Mwangamize yeye!’ 1

Judges 1:21Hata hivyo, Wabenyamini walishindwa kuwafukuza Wayebusi, waliokuwa wanaishi Yerusalemu; hivyo hadi leo Wayebusi huishi humo pamoja na Wabenyamini.

2 Samuel 12:24Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. Bwana alimpenda Solomoni.

1 Kings 12:21Ikawa Rehoboamu alipofika Yerusalemu, akakusanya nyumba yote ya Yuda na kabila la Benyamini, wanaume wapiganaji 180,000, kufanya vita dhidi ya nyumba ya Israeli na kuurudisha tena ufalme kwa Rehoboamu mwana wa Solomoni.

2 Chronicles 15:2Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, “Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:11Kumbukumbu 33Kumbukumbu 33:13 →