2 Samuel 13:22
Absalomu hakusema neno lolote na Amnoni, likiwa zuri au baya, kwa kuwa alimchukia Amnoni kwa sababu alikuwa amemtia aibu Tamari, dada yake. 1 Absalomu Amuua Amnoni
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Mfalme Daudi aliposikia mambo haya yote, akakasirika sana.
Cross References
Genesis 31:24Ndipo Mungu akamjia Labani Mwaramu katika ndoto usiku na kumwambia, “Jihadhari usiseme neno lolote kwa Yakobo, liwe zuri au baya.”
Leviticus 19:17“ ‘Usimchukie ndugu yako moyoni mwako. Karipia jirani yako kwa uwazi ili usishiriki hatia yake.
Proverbs 25:9Kama ukifanya shauri na jirani yako, 2 usisaliti siri ya mtu mwingine, 1
Proverbs 26:26Nia yake ya kudhuru wengine inaweza kufichwa na udanganyifu, 2 lakini uovu wake utafichuliwa kwenye kusanyiko. 1
Ecclesiastes 7:9Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, 2 kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. 1
Ephesians 4:26Mkikasirika, msitende dhambi, wala jua lisichwe mkiwa bado mmekasirika,