2 Samuel 13:21
Mfalme Daudi aliposikia mambo haya yote, akakasirika sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But when king David heard of all these things, he was very wroth.
In Context
Cross References
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
1 Samuel 2:29Kwa nini unadharau dhabihu zangu na sadaka zile nilizoziamuru kwa ajili ya makao yangu? Kwa nini unawaheshimu wanao kuliko mimi kwa kujinenepesha wenyewe kwa kula sehemu zilizo bora za kila sadaka zinazotolewa na watu wangu wa Israeli?’
2 Samuel 12:5Daudi akawakwa na hasira dhidi ya mtu huyo tajiri na kumwambia Nathani, “Hakika kama Bwana aishivyo, mtu huyo aliyefanya hivyo anastahili kufa!
Psalms 101:8Kila asubuhi nitawanyamazisha 2 waovu wote katika nchi; 1 nitamkatilia mbali kila mtenda mabaya 2 kutoka mji wa Bwana.