bible.software › 2 Samuel › 2 Samuel 13 › 2 Samuel 13:35
2 Samuel 13:35
Yonadabu akamwambia mfalme, “Tazama, wana wa mfalme wako hapa; imekuwa kama vile mtumishi wako alivyosema.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jonadab said unto the king, Behold, the king’s sons come: as thy servant said, so it is.
In Context
34Wakati huo, Absalomu akawa amekimbia. Basi mlinzi akaangalia, naye akaona watu wengi barabarani magharibi yake, wakishuka kutoka upande wa kilima. Mlinzi akaenda akamwambia mfalme, “Naona watu wakitokea upande wa Horonaimu, huko upande wa kilimani.”
36Mara alipomaliza kusema, wana wa mfalme wakaingia ndani wakiomboleza kwa makelele. Pia mfalme na watumishi wake wote wakalia sana kwa uchungu.
Read all of 2 Samuel 13
This Verse In Other Editions
Study 2 Samuel 13:35