2 Samuel 13:34
Wakati huo, Absalomu akawa amekimbia. Basi mlinzi akaangalia, naye akaona watu wengi barabarani magharibi yake, wakishuka kutoka upande wa kilima. Mlinzi akaenda akamwambia mfalme, “Naona watu wakitokea upande wa Horonaimu, huko upande wa kilimani.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 13:37Absalomu akakimbia na kwenda kwa Talmai mwana wa Amihudi, mfalme wa Geshuri. Lakini Mfalme Daudi akaomboleza kwa ajili ya mwanawe kila siku.
Amos 5:19Itakuwa kama vile mtu aliyemkimbia simba 2 kumbe akakutana na dubu, 1 kama vile mtu aliyeingia nyumbani mwake 2 na kuupumzisha mkono wake kwenye ukuta, 2 kumbe akaumwa na nyoka. 1