2 Samweli 14:28
Absalomu akaishi miaka miwili huko Yerusalemu pasipo kuuona uso wa mfalme.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So Absalom dwelt two full years in Jerusalem, and saw not the king’s face.
In Context
Cross References
Genesis 43:3Lakini Yuda akamwambia, “Mtu yule alituonya kwa msisitizo, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje na ndugu yenu.’
1 Kings 1:53Ndipo Mfalme Solomoni akawatuma watu, nao wakamshusha kutoka madhabahuni. Naye Adoniya akaja akamwinamia Mfalme Solomoni, naye Solomoni akamwambia, “Nenda nyumbani kwako.”
Matthew 18:10“Angalia ili usimdharau mmojawapo wa hawa wadogo, kwa maana nawaambia, malaika wao mbinguni daima wanauona uso wa Baba yangu aliye mbinguni. [