2 Samweli 14:29
Basi Absalomu akamwita Yoabu kwa kusudi la kumtuma kwa mfalme, lakini Yoabu akakataa kuja kwa Absalomu. Ndipo akamwita tena mara ya pili, lakini pia akakataa kuja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Absalomu akaishi miaka miwili huko Yerusalemu pasipo kuuona uso wa mfalme.
Cross References
Esther 1:12Lakini wakati watumishi walipotoa amri ya mfalme, Malkia Vashti alikataa kuja. Ndipo mfalme alighadhibika, na hasira yake ikawaka.