2 Samweli 14:3
Kisha nenda kwa mfalme ukazungumze maneno haya.” Naye Yoabu akaweka maneno kinywani mwa yule mwanamke.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And come to the king, and speak on this manner unto him. So Joab put the words in her mouth.
In Context
Cross References
Numbers 23:5Bwana akaweka ujumbe katika kinywa cha Balaamu na kusema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.”
2 Samuel 14:19Mfalme akauliza, “Je, mkono wa Yoabu haupo pamoja nawe katika jambo hilo lote?” Huyo mwanamke akajibu, “Hakika kama uishivyo, bwana wangu mfalme, hakuna yeyote anayeweza kugeuka kulia wala kushoto kutokana na chochote anachosema bwana wangu mfalme. Naam, ni mtumishi wako Yoabu ndiye alinifundisha kufanya hivi, naye ndiye aliweka maneno haya yote kinywani mwa mtumishi wako.
Isaiah 51:16Nimeweka maneno yangu kinywani mwako 2 na kukufunika kwa uvuli wa mkono wangu: 1 Mimi niliyeweka mbingu mahali pake, 2 niliyeweka misingi ya dunia, 1 niwaambiaye Sayuni, 2 ‘Ninyi ni watu wangu.’ ” 1 Kikombe Cha Ghadhabu Ya Bwana 1
Jeremiah 1:9Kisha Bwana akaunyoosha mkono wake na kugusa kinywa changu, akaniambia, “Sasa nimeyaweka maneno yangu kinywani mwako.