2 Samweli 14:2
Kwa hiyo Yoabu akamtuma mtu fulani kwenda Tekoa na kumleta mwanamke mwenye hekima kutoka huko. Akamwambia huyo mwanamke, “Jifanye uko katika maombolezo. Vaa nguo za kuomboleza, nawe usitumie mafuta yoyote ya uzuri, jifanye kama mwanamke ambaye amekuwa na huzuni kwa siku nyingi kwa ajili ya kufiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Yoabu mwana wa Seruya akafahamu kuwa moyo wa mfalme ulikuwa na shauku ya kumwona Absalomu.
Cross References
Ruth 3:3Basi oga na ukajipake marashi, ujivalie nguo zako nzuri. Kisha uende kwenye sakafu ya kupuria, lakini angalia asijue kwamba upo pale mpaka atakapomaliza kula na kunywa.
2 Samuel 12:20Basi Daudi akainuka kutoka pale sakafuni. Baada ya kuoga, akajipaka mafuta na kubadilisha nguo zake kisha akaenda ndani ya nyumba ya Bwana, akaabudu. Baada ya hapo akaenda nyumbani kwake kwa kutaka kwake, wakamwandalia chakula, naye akala.
2 Chronicles 11:6Akajenga Bethlehemu, Etamu, Tekoa,
Nehemiah 3:5Sehemu iliyofuatia ilikarabatiwa na watu kutoka Tekoa, lakini wakuu wao walikataa kufanya kazi chini ya wasimamizi wao.
Psalms 104:15divai ya kuufurahisha moyo wa mwanadamu, 2 mafuta kwa ajili ya kungʼarisha uso wake, 2 na mkate wa kutia mwili nguvu. 1
Jeremiah 6:1“Kimbieni kwa usalama wenu, enyi watu wa Benyamini! 2 Kimbieni kutoka Yerusalemu! 1 Pigeni tarumbeta katika Tekoa! 2 Inueni ishara juu ya Beth-Hakeremu! 1 Kwa kuwa maafa yanaonekana yakitoka kaskazini, 2 na uharibifu wa kutisha. 1