2 Samweli 16:20
Absalomu akamwambia Ahithofeli, “Tupe shauri lako. Tufanye nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said Absalom to Ahithophel, Give counsel among you what we shall do.
In Context
Cross References
2 Samuel 15:12Wakati Absalomu alipokuwa anatoa dhabihu, pia akatuma aitwe Ahithofeli, Mgiloni, mshauri wa Daudi, aje kutoka Gilo, ambao ndio mji wake wa nyumbani. Kwa hiyo mpango wa hila ukapata nguvu, na idadi ya waliofuatana na Absalomu ikaongezeka. 1 Kukimbia Kwa Daudi
Psalms 37:12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki 2 na kuwasagia meno, 1
Isaiah 8:10Wekeni mikakati yenu, lakini itashindwa; 2 fanyeni mipango yenu, lakini haitafanikiwa, 1 kwa maana Mungu yu pamoja nasi. + 8:10 Kiebrania ni Imanueli. 1 Mwogope Mungu
Matthew 27:1Asubuhi na mapema, viongozi wa makuhani wote na wazee wa watu wakafanya shauri pamoja dhidi ya Yesu ili kumuua.