Isaiah 8:10
Wekeni mikakati yenu, lakini itashindwa; 2 fanyeni mipango yenu, lakini haitafanikiwa, 1 kwa maana Mungu yu pamoja nasi. + 8:10 Kiebrania ni Imanueli. 1 Mwogope Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 20:1Mtakapokwenda vitani kupigana na adui zenu na mkaona farasi na magari ya vita na jeshi kubwa kuliko lenu, msiwaogope, kwa sababu Bwana Mungu wenu aliyewatoa kutoka Misri, atakuwa pamoja nanyi.
2 Samuel 15:31Basi Daudi alikuwa ameambiwa, “Ahithofeli alikuwa miongoni mwa washiriki wa shauri baya la Absalomu.” Ndipo Daudi akaomba, akisema, “Ee Bwana, geuza shauri la Ahithofeli kuwa ujinga.”
2 Samuel 17:23Ahithofeli alipoona kwamba shauri lake halikufuatwa, akatandika punda wake, akaondoka kwenda nyumbani kwake kwenye mji wake. Akaiweka nyumba yake katika utaratibu, kisha akajinyonga mwenyewe. Hivyo akafa na akazikwa katika kaburi la baba yake.
2 Chronicles 13:12Mungu yu pamoja nasi, yeye ndiye kiongozi wetu. Makuhani wake wakiwa na tarumbeta zao watapiga baragumu ya vita dhidi yenu. Watu wa Israeli, msipigane dhidi ya Bwana, Mungu wa baba zenu, kwa maana hamtashinda.”
Job 5:12Huipinga mipango ya wenye hila, 2 ili mikono yao isifikie ufanisi. 1
Psalms 21:12kwa kuwa utawafanya wakimbie 2 utakapowalenga usoni pao 2 kwa mshale kutoka kwenye upinde wako. 1