2 Samweli 16:22
Kwa hiyo wakasimika hema kwa ajili ya Absalomu juu ya paa, naye akakutana kimwili na masuria wa baba yake mbele ya Israeli wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
2 Samuel 11:2Ikawa siku moja wakati wa jioni Daudi aliinuka kitandani mwake na kutembeatembea juu ya paa la jumba lake la kifalme. Kutokea kule kwenye paa, akamwona mwanamke akioga. Mwanamke huyo alikuwa mzuri sana wa sura,
2 Samuel 12:12Ulifanya kwa siri, lakini nitalifanya jambo hili wakati wa mchana mwangavu mbele ya Israeli yote.’ ”
2 Samuel 20:3Daudi aliporudi katika jumba lake la kifalme huko Yerusalemu, aliwachukua wale masuria kumi aliokuwa amewaacha ili kuangalia jumba la kifalme na kuwaweka ndani ya nyumba chini ya ulinzi. Akawapa mahitaji yao lakini hakukutana nao kimwili. Waliwekwa kifungoni wakaishi kama wajane mpaka kifo chao.
Jeremiah 3:3Kwa hiyo mvua imezuiliwa, 2 nazo mvua za vuli hazikunyesha. 1 Hata hivyo, una uso usio na haya kama wa kahaba; 2 unakataa kutahayari kwa aibu. 1
Ezekiel 24:7“ ‘Kwa kuwa damu aliyoimwaga ipo katikati yake: 2 huyo mwanamke aliimwaga 2 juu ya mwamba ulio wazi; 1 hakuimwaga kwenye ardhi, 2 ambako vumbi lingeifunika. 1