Genesis 35:22
Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi.
Cross References
Genesis 29:31Bwana alipoona kwamba Lea hapendwi, akampa watoto, lakini Raheli alikuwa tasa.
Genesis 35:18Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. + 35:18 Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu. Lakini babaye akamwita Benyamini. + 35:18 Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.
Genesis 46:25Hawa walikuwa wana wa Bilha aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alikuwa amempa Raheli binti yake; jumla yao walikuwa saba.
Genesis 49:3“Reubeni, wewe ni mzaliwa wangu wa kwanza, 2 nguvu zangu, tunda la kwanza la nguvu zangu, 2 umepita kwa heshima, umepita kwa uwezo. 1
Exodus 1:1Haya ndiyo majina ya wana wa Israeli ambao walikwenda Misri na Yakobo, kila mmoja akiwa pamoja na jamaa yake:
Exodus 2:1Basi mtu mmoja wa nyumba ya Lawi akaoa mwanamke Mlawi,