The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 17 › 2 Samweli 17:12

2 Samweli 17:12

Ndipo tutakapomshambulia popote atakapoonekana, nasi tutamwangukia kama umande unavyoshuka juu ya ardhi. Yeye mwenyewe wala watu wake hakuna atakayeachwa hai.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So shall we come upon him in some place where he shall be found, and we will light upon him as the dew falleth on the ground: and of him and of all the men that are with him there shall not be left so much as one.

In Context

11“Kwa hiyo nakushauri: Israeli wote na wakusanyikie kwako, kuanzia Dani hadi Beer-Sheba, katika wingi wao jinsi walivyo kama mchanga wa ufuoni mwa bahari, wewe mwenyewe ukiwaongoza vitani.

13Kama atakimbilia katika mji wowote, basi Israeli wote watazungushia mji ule kamba, nasi tutauburuta mji huo mpaka bondeni hadi isionekane hata changarawe ya huo mji.”

Read all of 2 Samweli 17

Cross References

1 Kings 20:10Kisha Ben-Hadadi akatuma ujumbe mwingine kwa Ahabu, kusema “Miungu iniletee maafa, tena makubwa zaidi, ikiwa vumbi la Samaria litatosheleza konzi moja ya kila mtu ya wale wafuatanao nami.”

2 Kings 19:24Nimechimba visima katika nchi za kigeni 2 na kunywa maji yake. 1 Kwa nyayo za miguu yangu 2 nimekausha vijito vyote vya Misri.” 1

Obadiah 1:3Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, 2 wewe unayeishi katika majabali ya miamba 2 na kufanya makao yako juu, 1 wewe unayejiambia mwenyewe, 2 ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’ 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 17:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 17:112 Samweli 172 Samweli 17:13 →